-
Matendo 19:25Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
25 Akawakusanya pamoja na wengine waliofanya kazi kama hiyo na kuwaambia: “Wanaume, mnajua vema kwamba tunapata mafanikio yetu kutokana na biashara hii.
-
-
Matendo 19:25Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
25 naye akawakusanya wao na wale waliofanya kazi ya kutengeneza vitu vya namna hiyo na kusema: “Wanaume, nyinyi mwajua vema kwamba kutokana na biashara hii sisi tuna ufanisi wetu.
-