-
Matendo 19:26Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
26 Pia, mwaona na kusikia jinsi si katika Efeso tu bali pia katika karibu wilaya yote ya Asia Paulo huyu ameshawishi umati mkubwa na kuwageuza kwenye kauli nyingine, akisema kwamba wale waliofanywa kwa mikono si miungu.
-