-
Matendo 19:27Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
27 Isitoshe, kuna hatari kwamba biashara yetu itapata sifa mbaya na pia hekalu la Artemi mungu mkuu wa kike litaonwa kuwa si kitu, naye anayeabudiwa katika mkoa wote wa Asia na dunia inayokaliwa atakosa utukufu.”
-
-
Matendo 19:27Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
27 Zaidi ya hayo, hatari ipo si kwamba tu shughuli hii yetu itaingizwa katika sifa mbaya bali pia kwamba hekalu la mungu-mke mkubwa Artemisi litakadiriwa kuwa si kitu na hata fahari yake ambayo wilaya yote ya Asia na dunia inayokaliwa huiabudu iko karibu kushushwa iwe si kitu.”
-