-
Matendo 19:31Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
31 Hata baadhi ya wasimamizi wa sherehe na michezo waliomtendea kwa urafiki, wakamtumia ujumbe wakimsihi asijihatarishe kwa kuingia katika ukumbi wa maonyesho.
-
-
Matendo 19:31Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
31 Hata baadhi ya makamishna wa misherehekeo na michezo, waliokuwa wenye urafiki kwake, wakatuma watu kwake na kuanza kumwomba asijihatarishe mwenyewe mahali pa michezo.
-