-
Matendo 21:4Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
4 Kwa kutafuta tukawapata wanafunzi na kukaa hapo siku saba. Lakini kupitia roho wakarudiarudia kumwambia Paulo asiweke mguu katika Yerusalemu.
-