-
Matendo 21:30Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
30 Jiji lote likawa na machafuko, watu wakakimbia pamoja wakamkamata Paulo na kumkokota nje ya hekalu, na mara moja milango ikafungwa.
-
-
Matendo 21:30Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
30 Na jiji lote likatiwa katika ghasia, na kukimbia pamoja kwa watu kukatukia; nao wakamshika Paulo wakamkokota nje ya hekalu. Na mara milango ikafungwa.
-