-
Matendo 21:31Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
31 Walipokuwa wakijaribu kumuua, kamanda wa kikosi cha jeshi akapata habari kwamba Yerusalemu yote ilikuwa na vurugu;
-
-
Matendo 21:31Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
31 Na walipokuwa wakitafuta sana kumuua, habari ikamjia kamanda wa kikosi kwamba Yerusalemu lote lilikuwa katika mvurugo;
-