-
Matendo 22:3Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
3 “Mimi ni Myahudi, aliyezaliwa katika Tarso ya Kilikia, lakini aliyeelimishwa katika jiji hili penye miguu ya Gamalieli, nikiwa nimefunzwa kwa usahihi kabisa Sheria ya akina baba wa kale, nikiwa mwenye bidii kuhusu Mungu kama vile nyinyi nyote mlivyo siku hii.
-