-
Matendo 22:5Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
5 kama vile kuhani mkuu na kusanyiko lote la wazee wanavyoweza kutoa ushahidi. Nilipata pia barua kutoka kwao ili nizipeleke kwa akina ndugu huko Damasko, nami nilikuwa ninaenda kuwakamata wale waliokuwa huko na kuwaleta Yerusalemu wakiwa wamefungwa ili waadhibiwe.
-
-
Matendo 22:5Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
5 kama ambavyo kuhani wa cheo cha juu na pia kusanyiko lote la wanaume wazee wawezavyo kunitolea ushahidi. Kutoka kwao nilipata pia barua nizipeleke kwa akina ndugu katika Damasko, nami nilikuwa nimeshika njia yangu kwenda kuwaleta wale waliokuwa huko pia hadi Yerusalemu wakiwa wamefungwa ili waadhibiwe.
-