-
Matendo 22:24Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
24 yule kamanda wa jeshi akaagiza Paulo aingizwe katika makao ya wanajeshi na kuamuru ahojiwe huku akipigwa mijeledi, ili ajue kwa nini hasa walikuwa wakimpigia Paulo kelele hivyo.
-
-
Matendo 22:24Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
24 yule kamanda wa kijeshi akaagiza aingizwe katika makao ya askari-jeshi na kusema apaswa kuchunguzwa kwa kupigwa mijeledi, ili apate kujua kabisa ni kwa sababu gani walikuwa wakipaaza sauti dhidi yake kwa njia hii.
-