-
Matendo 23:3Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
3 Paulo akamwambia: “Mungu atakupiga wewe, ewe ukuta uliopakwa chokaa. Je, unaketi kunihukumu kulingana na Sheria na wakati uleule unaivunja Sheria hiyo kwa kuamuru nipigwe?”
-
-
Matendo 23:3Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
3 Ndipo Paulo akamwambia: “Mungu atakupiga wewe, ewe ukuta uliopakwa chokaa. Je, wakati uleule mmoja waketi kunihukumu kupatana na Sheria na, kwa kukiuka Sheria, waamuru nipigwe?”
-