-
Matendo 23:7Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
7 Baada ya kusema hivyo, kukatokea mtengano kati ya Mafarisayo na Masadukayo, na kusanyiko likagawanyika.
-
-
Matendo 23:7Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
7 Kwa sababu alisema hili, mtengano ukatokea kati ya Mafarisayo na Masadukayo, na umati ukagawanyika.
-