-
Matendo 23:10Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
10 Basi mzozo ulipozidi kuongezeka, kamanda wa jeshi akaogopa kwamba watamrarua-rarua Paulo, akaamuru wanajeshi washuke wamnyakue kutoka kati yao kisha wamlete kwenye makao ya wanajeshi.
-
-
Matendo 23:10Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
10 Basi mtengano ulipokuwa mkubwa, kamanda wa kijeshi akawa mwenye kuogopa kwamba Paulo angeraruliwa nao vipande-vipande, naye akaamuru jeshi la askari literemke liende limmnyakue kutoka katikati yao na kumleta ndani ya makao ya askari-jeshi.
-