-
Matendo 23:30Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
30 Lakini kwa sababu njama itakayofanywa dhidi ya huyu mwanamume imefunuliwa kwangu, ninamtuma kwako mara moja, na kuwaamuru washtaki waseme dhidi yake mbele yako.”
-