-
Matendo 23:33Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
33 Wale wapanda farasi wakaingia Kaisaria, wakamkabidhi gavana ile barua na kumleta Paulo mbele yake.
-
-
Matendo 23:33Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
33 Hao wapanda-farasi wakaingia katika Kaisaria na kumkabidhi gavana hiyo barua na pia wakamtoa Paulo mbele yake.
-