-
Matendo 24:25Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
25 Lakini alipokuwa akiongea juu ya uadilifu na kujidhibiti na hukumu itakayokuja, Feliksi akawa mwenye kuogopa na kujibu: “Kwa wakati huu wa sasa shika njia yako uende, lakini nipatapo wakati ufaao nitakuita tena.”
-