-
Matendo 26:3Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
3 hasa kwa sababu wewe una ujuzi mwingi kuhusu desturi zote na vilevile mabishano kati ya Wayahudi. Kwa hiyo, ninakuomba unisikilize kwa subira.
-
-
Matendo 26:3Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
3 hasa kwa kuwa wewe ni mtaalamu katika desturi zote na vilevile mabishano miongoni mwa Wayahudi. Kwa hiyo nakuomba unisikie kwa subira.
-