-
Matendo 26:7Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
7 lakini makabila yetu kumi na mawili yanatumaini kufikia utimizo wa ahadi hii kwa kumtolea yeye utumishi mtakatifu kwa juhudi nyingi usiku na mchana. Kuhusu tumaini hili nashtakiwa na Wayahudi, Ewe mfalme.
-