-
Matendo 26:13Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
13 Katikati ya mchana niliona kwenye barabara, Ewe mfalme, nuru ipitayo wangavu wa jua ikimweka kutoka mbinguni kunizunguka huku na huku na kuwazunguka huku na huku wale wenye kusafiri pamoja nami.
-