-
Matendo 26:18Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
18 kufungua macho yao, kuwageuza kutoka kwenye giza hadi kwenye nuru na kutoka kwenye mamlaka ya Shetani hadi kwa Mungu, kusudi wao wapokee msamaha wa dhambi na urithi miongoni mwa wale waliotakaswa kwa imani yao katika mimi.’
-