-
Matendo 27:1Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
27 Basi kwa kuwa iliamuliwa sisi tusafiri kwa mashua kwenda Italia, walikuwa wakikabidhi Paulo na pia wafungwa fulani wengine kwa ofisa-jeshi aitwaye jina Yuliasi wa kikosi cha Augusto.
-