-
Matendo 27:3Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
3 Na siku iliyofuata tukateremka hadi katika Sidoni, na Yuliasi akamtendea Paulo kwa fadhili ya kibinadamu na kumruhusu aende kwa marafiki wake na kuonea shangwe utunzaji wao.
-