-
Matendo 27:7Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
7 Kisha baada ya kusafiri polepole kwa siku kadhaa, tukafika kwa shida huko Kinido. Kwa sababu upepo ulituzuia kusonga mbele, tukasafiri chini ya Krete karibu na Salmone.
-
-
Matendo 27:7Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
7 Ndipo, baada ya kusafiri kwa mashua polepole kwa siku kadhaa na kuja Kinido kwa shida, kwa sababu upepo haukuturuhusu tuendelee mbele, tukasafiri chini ya kinga ya Krete katika Salmone,
-