-
Matendo 27:8Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
8 Tukasafiri kwa shida kandokando ya pwani, tukafika mahali panapoitwa Bandari Nzuri, karibu na jiji la Lasea.
-
-
Matendo 27:8Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
8 na tukipita kandokando ya pwani yayo kwa shida tukaja mahali fulani paitwapo Bandari Nzuri, ambapo karibu napo palikuwa jiji Lasea.
-