Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Matendo 27:12
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 12 Kwa kuwa bandari hiyo haikufaa wakati wa majira ya baridi kali, wengi wakapendekeza kuendelea na safari, ili kuona kama wangefaulu kukaa wakati wa majira ya baridi kali huko Feniki, ambayo ni bandari ya Krete inayofunguka kuelekea kaskazini mashariki na kuelekea kusini mashariki.

  • Matendo 27:12
    Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
    • 12 Sasa kwa kuwa hiyo bandari haikufaa kukaa wakati wa majira ya baridi, walio wengi wakashauri kusafiri kwa mashua kutoka hapo, ili kuona kama wangeweza kwa njia fulani kufaulu kufika Foinikse ili kukaa huko wakati wa majira ya baridi, ambayo ni bandari ya Krete ifungukayo kuelekea kaskazini-mashariki na kuelekea kusini-mashariki.

  • Matendo
    Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012
    • 27:12 bt 207; w99 3/15 31

  • Matendo
    Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019
    • 27:12

      Kutoa Ushahidi, uku. 207

      Mnara wa Mlinzi,

      3/15/1999, uku. 31

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki