-
Matendo 27:15Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
15 Kwa kuwa meli ilipigwa na upepo wenye nguvu na ikashindwa kuukabili, tukaiachilia nao upepo ukatusukuma.
-
-
Matendo 27:15Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
15 Kwa kuwa mashua ilikamatwa kwa nguvu nyingi na haikuweza kuweka kichwa chayo dhidi ya upepo, tukajiachilia na kuchukuliwa pamoja nao.
-