-
Matendo 27:16Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
16 Basi tukaenda upesi chini ya kinga ya kisiwa fulani kidogo kiitwacho Kauda, na bado tuliweza kwa shida kupata kuidhibiti kikamili mashua ndogo kwenye tezi.
-