-
Matendo 27:20Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
20 Basi, wakati ambapo jua wala nyota hazikuonekana kwa siku nyingi, nayo tufani iliyotulalia ikiwa si ndogo, tumaini lote la sisi kuokolewa mwishowe likaanza kukatiliwa mbali.
-