-
Matendo 27:24Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
24 akisema, ‘Usiwe na hofu, Paulo. Lazima usimame mbele ya Kaisari, na, tazama! Mungu amekupa kwa hiari wote wale wanaosafiri kwa mashua wakiwa pamoja nawe.’
-