-
Matendo 27:28Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
28 Nao wakapima kina kwa bildi na kupata kuwa ni pima ishirini; kwa hiyo wakaendelea mbele umbali mfupi na wakatia bildi tena na kupata kuwa ni pima kumi na tano.
-