-
Matendo 27:29Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
29 Wakiogopa kwamba tungekwama kwenye miamba, wakashusha nanga nne kutoka kwenye tezi na kuanza kutamani kupambazuke.
-
-
Matendo 27:29Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
29 Na kwa sababu ya kuhofu kwamba tungeweza kutupwa mahali fulani juu ya miamba, wakatupa nje nanga nne kutoka kwenye tezi na kuanza kutaka kuwe mchana.
-