-
Matendo 27:30Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
30 Lakini mabaharia walipojaribu kutoroka kutoka kwenye meli na kushusha mashua ndogo ndani ya bahari wakisingizia kwamba walikusudia kuzishusha nanga kutoka kwenye omo,
-
-
Matendo 27:30Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
30 Lakini mabaharia walipoanza kutafuta sana kutoroka katika mashua na kuteremsha mashua ndogo ndani ya bahari kwa kusingizia kuwa walikusudia kuzishusha nanga kutoka kwenye omo,
-