-
Matendo 27:35Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
35 Baada ya kusema hivyo, akachukua mkate, akamshukuru Mungu mbele yao wote, akaumega, na kuanza kula.
-
-
Matendo 27:35Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
35 Baada ya kusema hili, pia akachukua mkate, akamshukuru Mungu mbele yao wote akaumega na kuanza kula.
-