-
Matendo 27:40Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
40 Basi wakazikata nanga na kuziacha zianguke baharini, wakati huohuo wakifungua kamba za makasia ya usukani; na baada ya kutweka tanga la mbele kwenye upepo, wakaelekea ufuoni.
-
-
Matendo 27:40Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
40 Kwa hiyo, wakizikata nanga, wakaziacha zianguke ndani ya bahari, wakati huohuo wakifungua amari za makasia ya mtambo-usukani na, baada ya kutweka tanga la mbele kwenye upepo, wakashika njia kwenda pwani.
-