-
Matendo 27:41Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
41 Walipotua juu ya fungu la mchanga lililorundikwa na bahari pande zote mbili, wakaiendesha meli juu ya mwamba na omo ikakwama na kukaa bila kuondoleka, lakini tezi likaanza kuvunjwa vipande-vipande kwa nguvu nyingi.
-