-
Matendo 27:42Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
42 Ndipo wanajeshi wakaamua kuwaua wafungwa ili yeyote asiogelee na kutoroka.
-
-
Matendo 27:42Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
42 Ndipo likawa azimio la askari-jeshi kuwaua wafungwa, ili yeyote asipate kuogelea kwenda mbali na kutoroka.
-