-
Matendo 28:7Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
7 Sasa karibu na mahali hapo kulikuwa na mashamba ya mkuu wa kisiwa hicho, aliyeitwa Publio, ambaye alitukaribisha na kutuonyesha ukarimu kwa siku tatu.
-
-
Matendo 28:7Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
7 Sasa katika ujirani wa mahali hapo mtu aliye mkubwa wa hicho kisiwa, aitwaye jina Publio, alikuwa na mashamba; naye akatupokea kwa ukaribishaji-wageni na kutupokea kwa hisani siku tatu.
-