-
Matendo 28:21Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
21 Wakamwambia: “Hatujapokea barua zozote kukuhusu kutoka Yudea, wala hakuna ndugu yeyote aliyekuja kutoka huko ambaye ametujulisha au kusema jambo lolote baya juu yako.
-
-
Matendo 28:21Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
21 Wakamwambia: “Wala sisi hatujapokea barua zinazokuhusu wewe kutoka Yudea, wala hakuna yeyote wa akina ndugu ambaye amewasili aliyeripoti au kusema jambo lolote ovu juu yako.
-