-
Matendo 28:23Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
23 Basi wakapanga siku fulani ya kuwa pamoja naye, nao wakamjia wakiwa idadi kubwa zaidi mahali pake pa kukaa. Naye akawaeleza hilo jambo kwa kutoa ushahidi kamili kuhusiana na ufalme wa Mungu na kwa kutumia ushawishi kwao kuhusu Yesu kutoka katika sheria ya Musa na pia Manabii, tangu asubuhi hadi jioni.
-