-
Matendo 28:25Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
25 Basi kwa sababu hawakukubaliana miongoni mwao, wakaanza kuondoka, naye Paulo akasema jambo hili moja:
“Kwa kufaa roho takatifu ilisema kupitia Isaya nabii kwa mababu zenu,
-
-
Matendo 28:25Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
25 Kwa hiyo, kwa sababu walikosa kukubaliana, wakaanza kuondoka, huku Paulo akifanya elezo moja hili:
“Roho takatifu kwa kufaa ilisema kupitia Isaya nabii kwa baba zenu wa zamani,
-