-
Waroma 1:10Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
10 nikiomba kwamba ikiwezekana, hatimaye nifanikiwe kuja kwenu kwa mapenzi ya Mungu.
-
-
Waroma 1:10Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
10 nikiomba kwamba ikiwa kwa vyovyote yawezekana sasa mwishowe nipate kufanikiwa katika mapenzi ya Mungu ili nije kwenu.
-