-
Waroma 1:27Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
27 na hivyohivyo pia hata watu wa kiume waliacha utumizi wa kiasili wa aliye wa kike na kuwakiana tamaa kali katika uchu wao kuelekea mtu na mwenzake, watu wa kiume kwa watu wa kiume, wakifanya yaliyo yenye aibu na kupokea katika wao wenyewe malipo kamili, yaliyostahili kosa lao.
-