-
Waroma 2:25Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
25 Kwa kweli, tohara ni yenye manufaa ikiwa wewe wazoea tu kufuata sheria; lakini ikiwa wewe ni mkiukaji wa sheria, tohara yako imekuwa kutotahiriwa.
-