-
Waroma 2:27Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
27 Na mtu asiyetahiriwa kimwili, akiishika Sheria, atakuhukumu wewe ambaye huvunja sheria ingawa una sheria zilizoandikwa na umetahiriwa.
-
-
Waroma 2:27Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
27 Na mtu asiyetahiriwa aliye hivyo kwa asili, kwa kutekeleza Sheria, atakuhukumu wewe ambaye ukiwa na mfumo wayo wa sheria iliyoandikwa na ukiwa na tohara ni mkiukaji wa sheria.
-