-
Waroma 4:10Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
10 Basi, ilihesabiwa kuwa uadilifu chini ya hali gani? Alipokuwa ametahiriwa au kabla ya kutahiriwa? Ni kabla ya kutahiriwa.
-
-
Waroma 4:10Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
10 Basi, ilihesabiwa chini ya hali gani? Alipokuwa katika tohara au katika kutotahiriwa? Si katika tohara, bali katika kutotahiriwa.
-