-
Waroma 6:16Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
16 Je, hamjui kwamba ikiwa mnafuliza kujitoa nyinyi wenyewe kwa yeyote kuwa watumwa ili kumtii yeye, nyinyi ni watumwa wake kwa sababu mwamtii yeye, ama watumwa wa dhambi kwa tazamio la kifo ama wa utii kwa tazamio la uadilifu?
-