-
Waroma 6:19Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
19 Ninasema kwa maneno ya kibinadamu kwa sababu ya udhaifu wa mwili wenu: kwa maana kama vile mlivyotoa viungo vyenu kuwa watumwa wa ukosefu wa usafi na uasi-sheria kwa tazamio la uasi-sheria, basi sasa toeni viungo vyenu viwe watumwa kwa uadilifu kwa tazamio la utakatifu.
-