-
Waroma 7:1Biblia TakatifuāTafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
7 Akina ndugu, je, inawezekana kwamba hamjui (kwa maana ninasema na wale wanaoijua sheria) kuwa Sheria ni bwana juu ya mtu anapokuwa hai?
-
-
Waroma 7:1Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
7 Akina ndugu, je, yaweza kuwa kwamba nyinyi hamjui, (kwa maana ninasema kwa wale wajuao sheria,) kwamba Sheria ni bwana-mkubwa juu ya mtu kwa muda aishio?
-