Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Waroma 7:3
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 3 Hivyo basi, mume wake akiwa hai, mwanamke huyo ataitwa mzinzi ikiwa atakuwa wa mwanamume mwingine.+ Lakini mume wake akifa, yuko huru kutoka kwa sheria ya mume, basi mwanamke huyo si mzinzi ikiwa ataolewa na mwanamume mwingine.+

  • Waroma 7:3
    Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
    • 3 Hivyo, basi, wakati mume wake angali hai, yeye angeitwa mwanamke mzinzi kama angepata kuwa wa mwanamume mwingine. Lakini mume wake akifa, yeye yuko huru na sheria ya mume, hivi kwamba yeye si mwanamke mzinzi akipata kuwa mke wa mwanamume mwingine.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki