-
Waroma 7:8Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
8 Lakini dhambi, kwa kupokea kichocheo kupitia hiyo amri, ilifanyiza katika mimi kutamani kwa kila namna, kwa maana bila sheria dhambi ilikuwa imekufa.
-